kama unatafuta android app itakayokuwezesha kurekodi simu yako au tablet shughuli zote unazokuwa unazifanya katika kioo chako cha simu au tablet bila kuonesha jina lolote la kampuni iliotengeneza application hiyo wala haitaji kuroot simu yako chaguo pekee ni AZ screen recorder..
AZ screen recoder inakuweesha
- kurecorcod screen yako in FULL HD
- Kuipunguza ukubwa wa video ako
- kuibadili video yako kwenye kwenye GIF
- camera ya mbeleinayokuwezesha kujirecord uso ako
na mambo mengi ambayo kila siku wana update unaweza download AZ screen recorder kwa kubonyeza hapa..
No comments:
Post a Comment