
1.Download Power iso kutoka hapa👇
2.Jinsi ya kuburn flash
Fungua Power iso kama administrator,kwa kuright click power iso icon kutoka kwenye desktop na chagua open as administrator
Ingiza flash unayotaka kuburn kwenye port yako
.Kwenye power iso chagua"Tools > Create Bootable USB Drive". Hii "Create Bootable USB Drive" itatokea.
Kwenye "Create Bootable USB Drive" , click button hii"..." Ili kufungua image file yako mfano image file ya phoniex os au windows kutoka ulipo save
Chagua flash sahihi kutoka kwenye list"Destination USB Drive" kama upo na flash nyingi zimechomekwe kwenye computer .kuwa makini katika uchaguzi wako maana vitu vyote vya kwenye flash vitafutwa.
Chagua njia nzuri ya kuburn. "USB-HDD" hupendekezwa.
Click "Start" kuanza kuburn.
Subiri imalize halafu utaboot kutoka kwenye flash yako kama vile unavofanya windows.
No comments:
Post a Comment