• This is default featured slide 1 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 2 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 3 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 4 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 5 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

JINSI YA KU-UNLOCK TECNO Y3 BILA KUTUMIA KOMPYUTA

post zinazokuja nitawaeleza namna nyingine ya wewe ku unlock kwa kutumia IMEI zako za simu ingawa huduma hii  ini bure kwa baadhi ya simu...
 tuanze na njia hii kwanza ya kutumia app
MAHITAJI

  1. umakini
  2. app imaitwa MTK au tunaita media tek engineering mode
  3. Bando La Internet Lenye 10MB hadi 20MB sio lazima lakini ila cha muhimu uwena bando
simu iyo ya tecno yenye lock ya mtandao inayotumia laiani moja ya tigo
simu yako aina ya tecno Y3 ambayo inabagua laini..( usipoweka laini flani upande flani laini haisomi)

unachotakiwa kufanya nenda playstore downloan application hiyo  kwa kuandika mtk engineering mode
Image result for mtk engineering mode
au bonyeza  hapa uweze kudownload  MTK ENGINEERING MODE

Wote Tunafahamu Simu za tecno Y3 na Y3+ haswa Za Promotion ya Tigo huwa upande wa sim 1 ni lazima utumie line ya Tigo na ndio upande unao support 3G, Na upande wa sim 2 unaweza ukatumia line yoyote ile ila sim 2 huwa inasupport 2G pekee.


ukimaliza kuidownload 2. Install Mtk Engineering Mode Kisha ifungue

3. Nenda Kwenye MTK Settings
Image result for mtk engineering mode download play store

4. Nenda Kwenye Neno TELEPHONY

5. Nenda Kwenye SIMME LOCK au SIM LOCK .
6. Nenda Kwenye NETWORK PERSONALIZATION

7. Nenda Kwenye UNLOCK/NETWORK UNLOCK

8. Weka 12345678 kama unlock codes .

9. ,Baada Ya Hapo Rudi Nyuma Kisha Nenda Kwenye PERMANENTLY UNLOCK Bonyeza OK au Yes Kukubali kui Unlock Yako Moja Kwa Moja.

10. Bonyeza kwenye FINISH

11. Zima Simu Yako Kisha Weka line Ya Mtandao Mwingine Iliyokuwa haisomi Hapo Awali.

Mpaka hapo Utakuwa Umefanikisha Kuondoa Network Lock Kwenye Simu Ya TECNO Y3 au Y3+ Pasipokuwa na Kompyuta wala Ujuzi Wowote.
Share:

suluhisho kwa computer ya muda mrefu kuwa nzito unapoiwekea window

Nini unaweza Fanya kama computer yako ni ya zamani bado unaipenda na ukiweka window inakua nzito.Image result for phoenix os


Unajaribu Linux distros mbali mbali unaona ngumu.

Jibu rahisi ni phoniex os.

Hii ni operating system ya komputer yenye mwenendo wa android, yes namaanisha android kwa mana kwamba unatumia app zote za android kwa computer yako.

Inatumia ram kidogo pia processor kidogo ni rahisi kuinstall kwa computer yako pakua setup
yako kutoka hapa

Kuna aina mbili ya setups
A. kuna installer for Windows hii ni kama computer yako iko na Windows ambayo inafanya kazi, na unataka uwe na system mbili kwa pamoja(duo boot).

B.Pia kuna image file hii ni kwa ajiri ya booting kama ambavyo huwa tunainstall windows,inahusisha kuburn kwenye flash au dvd ndipo unistall
Image result for phoenix os
NOTE 1. nitatoa somo juu ya kuburn kwa flash au dvd.

NOTE 2.kama utatumia Chagua "A"hapo juu unainstall kama program za kawaida na kufuata maelekezo.
Share:

JINSI YA KUBURN IMAGE FILE YA OPERATING SYSTEM KWENYE FLASH KWA KUTUMIA POWER ISO

JINSI YA KUBURN IMAGE FILE YA OPERATING SYSTEM KWENYE FLASH KWA KUTUMIA POWER ISO

1.Download Power iso kutoka hapa👇

2.Jinsi ya kuburn flash

Fungua Power iso kama administrator,kwa kuright click power iso icon kutoka kwenye desktop na chagua open as administrator

Ingiza flash  unayotaka kuburn kwenye port yako

.Kwenye power iso chagua"Tools > Create Bootable USB Drive". Hii "Create Bootable USB Drive" itatokea.

Kwenye "Create Bootable USB Drive" , click button hii"..." Ili kufungua image file yako   mfano image file ya phoniex os au windows kutoka ulipo save

Chagua flash sahihi kutoka kwenye  list"Destination USB Drive" kama upo na flash nyingi zimechomekwe kwenye computer .kuwa makini katika uchaguzi wako maana vitu vyote vya kwenye flash vitafutwa.

Chagua njia nzuri ya kuburn. "USB-HDD" hupendekezwa.

Click "Start" kuanza kuburn.

Subiri imalize halafu utaboot kutoka kwenye flash yako kama  vile unavofanya windows.


Share:

fahamu namna ya kurecord kioo chako cha computer pamja na sauti

kama ilivyo simu unavyoweza ku screenshot na kurecord video katika screen yako ya simu pia kwa computer nyingi zinawezekana kwa kubonyeza (printscript) na njia nyingine kadhaa... kama unahitaji kurecord screen yako ya computer kwa ajili ya kuelekeza au kufundisha mfano kuhusu  namna ya kupakua michezo mbalimbali kuhusu maoema   unahitika kuwa  na software itakowezesha kufanya yote hayo...

softwares nyingi zinatumika kurecord screen katika computer huwa zinahitaji ujisajirin na kuanza kulipia gharama kwa wanaotumia huduma ya bur e huwa wanakutana na maandishi katika screen zao (watermark).. ukilipia gharama ndiyo yanondoka.. 

leo ninakueleza softwares yenye ukubwa mdogo kabisa itakoyokuwezesha kurecord screen ya computer yako bure kabisa inakubali kwa window device kama ni window 7, window 8.1 au window 10.. softaware hii inaitwa SRECORDER.XE
kuidownload bonyeza hapa..

FAIDA ZA KUTUMIA SOFTWARE HII( SRECORDER.XE)
  1. Ni bure kuitumia
  2. inakuwezesha kurecord video katika ubora wa hali ya juu
  3. unaweza record sehemu fulani utakoyoitaka katika kioo chako au ukipenda unarecord kioo chote(full screeen)
  4. inaitaji nafasi ndogo sana ili uweze ku install
  5. haina maandishi ya walioitengeneza
inakuwezesha kushare video hiyo mojakwamoja katika facebook,twiirer na google+

HASARA ZA KUITUMIA SOFTWARE HII( SRECORDER.XE)
  • nimekuwa mtumiaji mzuri sana wa software hii kwa kipindi kirefu sana haina hasara yoyotelabda tu mfano ukiwa unarecord ukasahau kubonyeza sehemu ya kuisave video yako  hautaiona tena kama unataka kurecord vido ndefu tafadhari usisahau kubonyeza sehemu ya kuisave baada ya kumaliza..
SOFTWARE HII INAHITAJI VITU VIFUATAVYO ILI UWEZE KUINSTALL
  • 1.5MHZ au processor yenye kasi kubwa..
  • 80MB ukubwa wa hard drive yako 
  • ukubwa wa kioo cha computer yako kianzie 640 times 768
RAM yenye ukubwa wa 128MB

kama unaitaji upate application kwa ajili ya kurecord video katika screen yako CLICK HERE
Share:

record screen yako ya simu (android mobile screen) bila kuiroot simu yako..

Image result for a z screen recorder

kama unatafuta  android app itakayokuwezesha kurekodi  simu yako au tablet shughuli zote unazokuwa  unazifanya katika kioo chako cha simu au tablet  bila kuonesha jina lolote la kampuni iliotengeneza application hiyo  wala haitaji kuroot simu  yako chaguo pekee ni  AZ screen recorder..
Image result for a z screen recorder

AZ screen recoder inakuweesha 
  1. kurecorcod screen yako in FULL HD
  2. Kuipunguza ukubwa wa video ako 
  3. kuibadili video yako kwenye kwenye GIF
  4. camera ya mbeleinayokuwezesha kujirecord uso ako                           
Image result for a z screenrecorder
na mambo mengi ambayo kila siku wana update  unaweza download  AZ screen recorder kwa kubonyeza hapa..



Share:

USHAURI MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE 2018 KUHUSU COMB NA KOZI MBALIMBALI AMBAZO ZINAWAFAA KULINGANGA NA MATOKEO WALIOYOPATA

Habari zenu,
Kwanza kabisa kama kichwa kijielezavyo hapo juu ,leo nimemaua kuzungumizia kuhusu wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2018 na wanatarajia kujiunga na vyuo mbalimbali kwa masomo mbalimbali mwaka wa masomo 2019.

Nitazungumzia mada hii muhimu kwa kugusa maeneo yafuatayo,
1.SEKTA YA AFYA
2.SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
3.SEKTA YA ELIMU
4.SEKTA YA ENGINEERING
5.SEKTA YA SHERIA NA BIASHARA

1.KOZI ZA AFYA
Afya ni moja kati ya sekta zinazoajiri kwa wingi sana vijana wengi kutokana na kutokuwepo kwa watalam wa kutosha kufiti nafasi hii adimu ya kuhudumia watu.
katika sekta hii inajumuisha kozi zifuatazo,
-nursing
-medicine
-pharmacy
-laboratory
Kutokana na ufaulu wa matokeo ya kidato cha nne ,Taasisi muhimu inayojishughulisha na udahili wa wanafunzi katika ngazi hii ya cheti na diploma wametoa sifa ambazo zitakufanya na kukuongoza katika kufanya maamuzi yako.
Ili uweze kudahiliwa(kuchaguliwa ktk chuo chochote cha afya tanzania ktk ngazi ya diploma na cheti kwa kozi tajwa hapo juu inabidi uwe umesoma masomo yafuatayo;
-physics
-chemistry
-biology
Masomo tajwa hapo juu ni lazima uyasome kama unataka kujiunga na kozi za afya.Pili inabidi uwe umefaulu kwa viwango vifuatavyo,
Kama una -physics-D,-chemistry-D,-biology-D(una sifa za kujiunga na cheti)
Kama una -physics-D,-chemistry-C,-biology-C(una sifa za kujiunga na Diploma)
Kutokana na vigezo tajwa hapo juu unaweza kuomba chuo chochote kile tanzania na nakuhakikishia 100% utachaguliwa kujiunga.
NOTE:KAMA HAUNA VIGEZO TAJWA HAPO JUU USIJISUMBUE KWANI HUTACHAGULIWA.


NATIONAL EXAMINATION RESULT 2018
KIJANA WANGU KAMA UMEMALIZA FORM FOUR NA MAMBO SI MAZURI BOFYA HAPA UANGALIE CHUO BORA KWA CERTIFICATE PAMOJA NA COURSE NZURI UTUME MAOMBI UKASOME

LIST YA VYUO VYA DIPLOMA NA CERTIFICATE VINAVYOTAMBULIWA NA NACTE NI HIVI HAPA

WALE WA MAMBO YA UTAWALA , BIASHARA, SHERIA, MAENDELEO YA JAMII, RASILIMALI WATU, UTALIII NA MAMBO MENGINE SAWA NA HAYO WAPITE HAPA


WALE VIJANA WA FORM FOUR WANAOTAKA COURSE ZA KILIMO , COMPUTER NA NYINGINEZO ZA SCIENCE KWA CERTIFICATE PITIA HAPA UPATE MWONGOZO

WALE WANAOTAKA COURSE ZA AFYA PITIA HAPA UPATE MWONGOZO NA UCHAGUE COURSE NZURI NZURI ZA AFYA

VIGEZO VYA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2019 NI HIVI HAPA PITIA HAPA UPONE MAPEMA
Share:

Sehemu ambazo Mke au Girlfriend wako anaweza akakupiga na ukapata maumivu makali sana


Katika Mahusiano kuna Miteremko na Miinuko kuna wakati kunakua na mitafaruko ya hapa na pale inayoweza kupelekea ugomvi baina ya wapenzi. 
Endapo mwanaume utakua katika ugomvi na Mkeo/Mpenzi basi linda sana maeneo hayo yaliyokua na rangi nyekundu. Ni maeneo ambayo mwanamke akikupiga utapata maumivu sana unless uwe umeumbwa kwa mwili wa chuma.  





Share:

Mfahamu Dionysius Exiguss (Humble) jinsi alivyobuni miaka ya kuzaliwa Yesu na matumizi yake (A.D)


Image result for St. Dionysius Exiguus

Warning: Kuna Computus (Calculations)
Kwajina Anaitwa St. Dionysius Exiguus(Dionysius the humble) tamka Dionisi. Kazaliwa mnamo mwaka 470 na kufariki mwaka 544 A.D, kazaliwa ukanda wa Scythia minor ambapo kwasasa ni Dobruja ipo katikati ya Romania na Burgaria. Alikua ni mtawa Cythian ambapo alikua mtaalamu wa Theology. Mwaka wa 5 alishi Rumi ambapo alijifunza namba za Roman Curia na kuzitafdiri toka kwenye Kigiriki kwenda Kilatini.
Anakumbukwa kwa kugundua Matumizi ya AD baada ya kufanya Calculations kuhusu mwaka aliozaliwa Yesu ambapo inatumika kwenye kalenda ya Gregory (Christian) na julian.
UTANGULIZI
The date of birth of Jesus of Nazareth is not stated in the gospels or in any secular text, but most scholars assume a date of birth between 6 BC and 4 BC.Two main methods have been used to estimate the year of the birth of Jesus: one based on the accounts of his birth in the gospels with reference to King Herod's reign, and another based on subtracting his stated age of "about 30 years" from the time when he began preaching (Luke 3:23) in "the fifteenth year of the preaching
Luka 3:1 Mwaka wa kumi na tano wa kutawala kwake kaisari tiberio...]
Kaisari Tiberio alimfuata kaisari Augusto katika utawala wa kirumi mnamo Tarehe 19/8/14 BK. Mwaka huo wa 15 wa kaisari tiberio ni kitambo toka tarehe 19/8/28 mpaka tarehe 18/8/29. Hivyo Yesu katika mwaka huo wa 15 alikua na miaka therathini na tatu au hata 36.
Jinsi Dioniso alivyoweka mwaka wa Yesu.
Katitka 3:23 Mwinjili luka aliandika kua Yesu alipoanza kuhubiri alikua na miaka 30 hivyo sasa mnamo karne ya 6 Dioniso alitumia tarakimu hiyo 30 kama msingi wake kua Yesu kipindi iko alikua na miaka 30.
Lakini mwinjili mwenyewe anasema umri wa Yesu ulikua kati ya miaka 30 kwahiyo mwaka aliobuni Dioniso kama mwaka wa kuzaliwa kwake Yesu amepitwa miaka mitano au zaidi. Herode mkubwa aliyetaka kumwua Yesu amekufa mwaka wa nne kabla ya tarehe ya kuzaliwa Yesu iliyobuniwa na Dioniso. Kwahiyo Yesu kazaliwa kitambo kidogo kabla ya kufa herode , hivyo ukijumlisha miaka hiyo 5 na kitambo hiko kidogo twapata kama miaka 7. Kwahiyo tarehe ya kuzaliwa Yesu ni kati ya miaka 5 hadi 7 kabla ya tarehe iliyobuniwa na Dioniso. Kwaiyo inawezekana pia Yesu aiishi miaka zadi ya 33.
Wafahamu chimbuko la Maherode
Wakuu Wayahudi tangu walipodai watawaliwe na wafalme ukirejea 1sam 8:1-9,Mungu aliruhusu wafalme wawatawale wakianzia na Saul, Daud na baadaye Sulemani.Hawa wote walianza kazi zao vizuri lakini polepole mwishoni mwa kazi zao hawakuweza kuendelea kuyashika maagizo ya Bwana na hivyo wakalifanya taifa zima kupotea njia.Mambo kama haya ndiyo hatimaye yanawapeleka waisrael utumwani mnamo mwaka 587 KK.
Ilipofika mwaka 63 KK nchi ya wayahudi ikiwa chini ya utawala wa Aristobulus II, ilitekwa na warumi waliokuwa wakiongozwa na Pompey.Warumi hawa waliitawala nchi ya wayahudi kutoka Roma.Wafalme walioitwa Makaisari walikaa Roma na nchi zote walizoziteka walizigawa katika mikoa ambayo iliwekwa chini ya magavana. Hawa magavana waliweka wafalme wa kienyeji. Kumbe, hawa wafalme wa kienyeji walitawala chini ya gavana wa kirumi.Ni kama kwa mfano jinsi wakoloni hapa nchini kwetu walivyoteua machifu kuongoza badala yao enzi za ukoloni.Hapa naweza kukutajia magavana wachache kati ya wengi wanaojulikana kama Ponsio Pilato,Titus,Felix,Festus n.k
Kumbe jina Herode ni jina la ukoo uliotawala nchi ya Palestina kwa muda wa miaka 47 kabla ya Kristo na miaka 79 baada ya kuzaliwa Kristo.Hawa niliowataja walikuwa wafalme wa kienyeji waliowekwa kutawala badala ya Warumi na kwa kweli hao ndio waliotumia jina Herode.
Pia, watawala hawa yaani maherode, walitoka katika shina moja yaani baba yao alikuwa anaitwa Antipater mtawala wa Idumea, kusini mwa nchi ya Palestina ambaye alikuwa amechaguliwa na Warumi kutawala eneo hilo. Huyu alipata kuzaa mtoto mmoja anayejulikana kama Herode Mkubwa.Huyu Herode Mkubwa,alipewa nafasi ya kutoka katika nchi yake kuja Palestina kwa Wayahudi na kutawala katika mkoa wa Galilaya baada ya kifo cha baba yake na ingawa mwenyewe hakuwa myahudi akatawala tangu mwaka 37-4KK.Wayahudi hawakumpenda mtu huyu kutokana na sababu mbili kuu. Kwanza ni kwa sababu hakuwa myahudi hivyo walijisikia vibaya kutawaliwa na mtu ambaye hakutoka katika taifa lao. Sababu ya pili ya kutompenda ni kwamba Herode huyu alikuwa ni katili sana. Ukatili huu unatokana na ukweli kwamba aliyapata madaraka kwa ujanja. Herode huyu alijua kwamba wengi hawampendi hivyo akajitahidi kuhakikisha kuwa wote wanaompinga anawaangamiza rej Lk 19:27.Tunaambiwa kwamba aliwaua hata ndugu zake na watoto wake mfano akina Antipater, Alexander na Aristobulus walioonekana vinara wa kumpinga. Ukisoma pia Mt 2:16-18 pale wanatajwa watoto mashahidi waliouawa katika harakati za kuhakikisha kwamba mtoto Yesu anauawa pia ingawa hakufanikiwa kumuua Yesu kwani tayari alikuwa ametoroshwa toka Bethlehemu.
Kila mtu anayo mazuri na mapungufu. Herode Mkubwa naye kafanya kitu fulani ambacho kiliwafurahisha Wayahudi pamoja na ukatili wake.Yeye ndiye aliyejenga hekalu la Yerusalemu,hekalu lililokuwa kubwa na zuri kiasi kwamba wayahudi hao hao wakawa wanasema kwamba kama mtu alizaliwa hadi akafa bila kuliona hekalu lile,basi mtu huyo atambue kwamba hakuwahi kuona kitu chochote kizuri hapa duniani.Kumbe huyo ndiye Herode aliyetishia maisha ya Yesu maana hakupenda aje mtu yeyote atakayeitwa mfalme tofauti na yeye.Aliposikia kwamba amezaliwa mtoto ambaye ni mfalme alijua mtoto huyo anataka kurithi ufalme wake hivyo alifanya lolote awezalo ili kuhakikisha anammaliza bila kujua kwamba ufalme wa mtoto Yesu haukuwa wa kidunia.
Herode Mkubwa naye alikuwa na watoto. Kabla ya kifo chake aliacha wosia ulioagiza kwamba nchi aliyoitawala igawiwe kati ya watoto wake watatu yaani Archelaus, Herod Antipas na Philip.
Katika mgao huo, Archelaus akawa mtawala wa Yudea na Samaria na kwa kweli hii ni karibu nusu ya nchi yote ya wayahudi kwani alitawala mikoa miwili. Herode huyu ndiye alikuwa mtawala kipindi kile Yoseph na Maria waliporudi kutoka Misri rej Mt 2:22.Hata hivyo alishindwa kumudu uongozi wa mikoa hiyo na hivyo Warumi wakamtoa na kumweka Pontio Pilato kuwa mtawala badala yao. Mtoto wa pili yaani Herode Antipas alipewa kutawala mkoa wa Galilaya tangu mwaka 4KK-39 BK.Huyu alitawala wakati Yesu alipokuwa akitembea huko na huko kuhubiri Lk 3:1,MK 6:4 Zaidi sana,huyu ndiye Herode aliyekemewa na Yohane Mbatizaji alipomwoa Herodia mke wa kaka yake Philip rej Mt 14:1-5,Mk 6:14-29,ndiye anayeitwa na Yesu mbweha Lk 3:32,na Ndiye aliyekutana na Yesu wakati wa mateso Lk 23:7-12. na mwisho ndiye aliyemuua mtume Yakobo na kumfunga mtume Petro Mdo 12:1-5.
Imeandaliwa na;
Da'Vinci 
Share:
Share:
Share:
Share:

DOUBLE AGENTS NGULI WANNE KUWAHI KUTOKEA KATIKA ULIMWENGU WA UJASUSI



DOUBLE AGENTS NGULI WANNE KUWAHI KUTOKEA KATIKA ULIMWENGU WA UJASUSI
Mustakabali wa taifa lolote lile hutegemea pamoja na mambo mengine mifumo ya ulinzi, kwani hii ndio nguzo mhimu katika kuhakikisha ustawi wa maslahi ya taifa husika
Ni kwa msingi huo basi mataifa yote duniani yameunda vyombo tofauti tofauti vya ulinzi mojawapo ikiwemo idara za ujajusi, mifano ipo mingi, CIA, M16, BND, MOSSAD, TISS n.k!
Lakini kuwa na taasisi au vyombo hivyo vinahiyaji nguvu kazi, nguvu kazi hii sharti iwe yenye weledi na uzalendo wa kutukuka, kwani kazi wanayoifanya ni kazi nyeti mno na inayozungukwa na mambo mengi sana, hivyo kuteleza kwa namna yoyote ile basi kunaacha madhara makubwa mno! Na kiukweli wapo walioteleza na kuleta madhara yasiyoelezeka, sasa Leo nimeona tuangalie kwa ufupi baadhi ya wanausalama walioteleza na kujikuta walitumia pande mbili au zaidi maarufu kwa jina la *DOUBLE AGENT*
*Lakini kwanza kabisa double agent ni nani?*
Tunaweza tukasema ni afisa usalama wa tasisis au serikali ambaye amepewa majukumuu ya kuichunguza taasisi au nchi nyingine lakini wakati huo huo anakuwa tena anafanya kazi hiyo hiyo kwa ajiri ya taasisi au nchi anayopaswa kuichunguza dhidi ya taasisi au nchi iliyomtuma! Wengi wanasem double agent anaweza kuwa matokeo ya tamaa ya pesa, kulazimishwa( baada ya kutishiwa kufanyiwa kitu kibaya), mapenzi tu, yaani mtu anapenda tu kuwa double agent, kupandikizwa kwa makusudi( marekani wamefaidika sana na aina hii hasa Mashariki ya kati) au inaweza kuwa ni sababu ya mitazamo… 
Hawa wafuatao ni baadhi ya double agents nguli kuwahi kutokea na balaa 
*Human Khalid Al-Balawi*
Huyu jamaa alikuwa daktari kitaaluma na alikuwa raia wa Jordan, alikamatwa na mamlaka za Jordan kipindi akiwa mwanafunzi kwenye chuo kikuu cha Isntanbul nchini Uturuki baada ya kuonekana akiwa na muelekeo wa misimamamo mikali, inasemekana baadae CIA waliingilia na kumshawishi awe double agent kwa ahadi ya kusamehewa. Jamaa alikubali na CIA wakamuandaa kikamilifu kwa kazi hiyo ambapo baada ya kuiva wakampeleka Pakistan na Afghanistan na kumpa jukumuu la kufuatilia nyendo na shughuli za alqaida nchini humo.
Human aliifanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa mno na akafanikiwa kuwashawishi CIA ambao walionekana kumwamini 100%. Kumbe hawakujua kuwa aliqaida walikuwa tayari wamembadilisha na alikuwa akifanya nao kazi.
Siku moja akawaeleza kuwa alikuwa na taarifa muhimu kuhusu kiongozi wa juu wa alqaida bwana Ayman- Al-Zawahili na akawapa masharti kuwa angependa taarifa hizo azifikishe kwa viongozi wakuu wa CIA katika eneo hilo, kwakuwa walikuwa wanamtafuta sana Zawahili hawakusita kumkubalia na kumuagiza afike kwenye Ofisi za CIA eneo la Khost Afghanistan, Khalid alifika kwa kuchelewa na kutokana na kimuhe muhe cha taarifa waliyokuwa wanakwenda kuipokea basi wakasahau hadi kumkagua, kumbe jamaa alikuwa amevaa mabomu, baada ya kufika ndani kwa wakubwa jamaa alijilipua na kuua maafisa kadhaa wa ngazi za juu wa CIA katika eneo hilo.
*Arthur Owens*
Arthur alikuwa mwingereza kutoka kisiwa cha Wales na kabla ya vita ya dunia ya pili alikuwa akifanya kazi kama mkandarasi na alikuwa akifanya serikali zote mbili, Ujerumani na England, baada ya vita kuanza aliajiriwa kama mhandisi kwenye meli vita za England akifanya kazi kama fundi betri, baadae Wajerumani walianza kumuomba awape taarifa hasa kuhusu meli vita za England na yeye bila hiana akifanya kazi hiyo, baadae alijiunga nao rasmi na akawa anafanya kazi nao huku pesa na wanawake wazuri yakiwa ndo malipo kwa kazi yake hiyo tukufu.
Baadae alirudi England na kujipeleka moja kwa moja kwa M15 na kuwaeleza ukweli wake na wajerumani, M16 walimpokea na kumtumia ambapo aliwasaidia kufichua zaidi maofisa 120 wa kijeruman nchini England na wakamtumia kuwalisha Wajerumani hao habari za uongo na zile zisixokuwa na athari kubwa kwao.
Mwaka 1941 Arthur na mwenzake mmoja walikamatwa na wajerumani lakini cha ajabu mwenzake alinyongwa huku yeye akiachwa hali iliyowatia wasiwasi England na alivyorudi walimkamata na kumtia kolokoloni hadi baada ya vita, baadae aliwalazimisha England wamlipe fedha kwa maadai ya kumfunga bila makosa na kama watagoma basi ataweka hadharani kila kitu, England walinywea na hadi anakufa hakuwahi kusema chochote.
*Kim Philby*
Kim Philby alikuwa ni afisa wa idara ya usalama ya England, yeye na wenzake wanne walitengeza a spy ring iliyopewa jina la the Combridge five, na wakifanya kazi kwa niaba ya KGB, ni kipindi ambacho wote watano walikuwa wakisoma chuoni hapo, wenzake walikuwa ni pamoja na Donald MacLean, Guy borguess na Anthony Brunt ambapo mtu wa tano kwenye kundi hilo hadi Leo hajawahi kujulikana! Kimsingi Borguess ndiye aliyemsajili Kim na wakati huyo tayari yeye alikuwa ni double agent.
Kilichomsukuma Kim ilikuwa ni imani yake katika falsafa za kijamaa, pamoja na kuwa double agent lakini Kim anasemwa kama mtu aliyefanya kazi kwa weledi mkubwa sana na alipata kutunukiwa nishani kadhaa kwa utumishi uliotukuka kabla ya kuja kumgundua kuwa alikuwa akifanya kazi na KGB, wakati wenzake wanakamatwa yeye alikuwa ameshaacha kazi na alikuwa Lebanon na hakurudi tena England Bali aliekea Jamhuri ya Usovieti ambako alipewa kazi kwenye idara kadhaa za ulinzi, alifariki mwaka 1988 akiwa huko huko Usovieti, Kim aliandika kitabu alichokipa jina la *My secret war* akieleza namna alivyopambana na ubepari.
*Juan Pujol Garsia*
Garsia alikuwa mhisipania ambaye maisha yake yalionekana kutokua na muelekeo kwani kwenye umri wa miaka 32 alikuwa ameshindwa karibia kila kitu, shule, biashara na hata familia, vyote alikuwa amejaribu na vikamshinda.
Baadae wakati wa vita kuu ya pili ya dunia aliamua kwenda kuomba kazi kwenye idara za usalama za England na Marekani lakini aligonga mwamba kwa madai mtu ambaye hakuwa na uwezo hata wa kufuga kuku angeweje kufanya kazi nyeti kama hii tena katika wakati tete. Baada ya kukataliwa akaona isiwe taabu akaenda zake kwa Wajerumani na kujifanya mmoja wa wanazi kindakindaki wa Hitler, manazi baadae walimuamini na kumpa kazi ambapo walimpangia kwenda England! Alielekea huko akipitia Porto Ureno na alianza kazi kwa kukusanya habari kwenye magazeti na redio, baadae alianza kupiga hatua kwa kusajili watu mhimu kutoka wazara ya habari na mawasiliano pamoja na masekretari kwenye wizara mbalimbali, baadae pia alifanikiwa kuingia hadi jeshini na jusajili watu huko.
Garsia alikuja kuumbuliwa na double agent wa kijerumani ambaye aliwatonya England juu ya uwepo wake nchini humo.
Baada ya kubumbuluka Garsia akijipeleka mwenyewe kwa M15 ambapo walikubali kuendelea kutumia mara hii wakimtumia kuwalisha habari za uongo.
Garsia anakumbukwa sana kutokana na kazi tukufu aliyoifanya wakati majeshi ya muungano wa England, Canada, Marekani na baadhi ya wanajeshi wa Ufaransa yalipoanza oparesheni ya kukomboa maeneo yaliyokuwa yamekamatwa na Ujerumani na hasa katika uvamizi wa eneo la Normandy, baada ya wanajeshi wa muungano kuelekea katika eneo hilo wajerumani walipata intelejensia na wakawa wametuma vikosi kwenda kupambana na majeshi ya muungano huku vikosi vingine vikiwekwa tayari nchini ubelgiji, lakini Garsia kwa ujasiri wa hali ya juu akamtumia telegraphy na kumwambia hakukuwa na mashambulizi yoyote katika eneo hilo na kwamba habari alizokuwa amepewa Hitler ulikuwa ni uongo, kwakuwa Hitler alikuwa anamuamini sana basi akaiamini taarifa hii na akaviamrisha vikosi vyake vilivyokuwa njiani kurejea na vile vilivyokuwa ubelgiji kuendelea kubaki.
Wengi wanachukulia hatua hii kama mwanzo wa majeshi ya muungano kuanza kujizatiti kwani hadi hapo Ujerumani ilikuwa tayari imekamata karibu ulaya nzima na ndio maana Garsia anachukuliwa kama double agent aliyefanya kazi ya kutukuka, lakini pia anatajwa kama double agent aliyetunukiwa tunzo nyingi mno kutoka pande zote yaani Ujerumani na England, baada ya vita Garsia alikwenda zake Amerika kusini ambapo alifungua maktaba na kumalizia maisha yake huko.

Share:

Random Post

Recent Comments

Popular Posts

Random Posts

Social

Featured Posts

Recent Post

Name

your name

Email *

Your Email

Message *

your message

Pages

Popular Posts

Labels

Recent Posts

Unordered List

  • Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  • Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  • Vestibulum auctor dapibus neque.

Pages