tuanze na njia hii kwanza ya kutumia app
MAHITAJI
- umakini
- app imaitwa MTK au tunaita media tek engineering mode
- Bando La Internet Lenye 10MB hadi 20MB sio lazima lakini ila cha muhimu uwena bando
simu yako aina ya tecno Y3 ambayo inabagua laini..( usipoweka laini flani upande flani laini haisomi)
unachotakiwa kufanya nenda playstore downloan application hiyo kwa kuandika mtk engineering mode
au bonyeza hapa uweze kudownload MTK ENGINEERING MODE
Wote Tunafahamu Simu za tecno Y3 na Y3+ haswa Za Promotion ya Tigo huwa upande wa sim 1 ni lazima utumie line ya Tigo na ndio upande unao support 3G, Na upande wa sim 2 unaweza ukatumia line yoyote ile ila sim 2 huwa inasupport 2G pekee.
ukimaliza kuidownload 2. Install Mtk Engineering Mode Kisha ifungue
3. Nenda Kwenye MTK Settings

4. Nenda Kwenye Neno TELEPHONY
5. Nenda Kwenye SIMME LOCK au SIM LOCK .
6. Nenda Kwenye NETWORK PERSONALIZATION
7. Nenda Kwenye UNLOCK/NETWORK UNLOCK
8. Weka 12345678 kama unlock codes .
9. ,Baada Ya Hapo Rudi Nyuma Kisha Nenda Kwenye PERMANENTLY UNLOCK Bonyeza OK au Yes Kukubali kui Unlock Yako Moja Kwa Moja.
10. Bonyeza kwenye FINISH
11. Zima Simu Yako Kisha Weka line Ya Mtandao Mwingine Iliyokuwa haisomi Hapo Awali.
Mpaka hapo Utakuwa Umefanikisha Kuondoa Network Lock Kwenye Simu Ya TECNO Y3 au Y3+ Pasipokuwa na Kompyuta wala Ujuzi Wowote.